Monday, April 27, 2009

FR. TONNY PASSES BY KIBUYE - Matayo Wangalwa

Nachukua fursa hii kuwashukuru nyote kwa mawaitha yenu ya mara kwa mara. Ningalipenda kuwaarifu kwa Padre Tonny alipita Kibuye kanisani katika misa ya pili ikielekea ukingoni na akawaamkuwa wakristu wote. Baadaye tuliarifiwa kwamba ataongoza misa ya tatu.
Salam aleiku wana samaki.

Wanachama waliokuwa katika misa ya kwa kama kawaida walielekea kwa mkutano. Bunda si farasi, baada ya misa ya tatu tulimpata mgeni. Alisema itakuwa furaha kwa mwaka kesho tukipanga kuadhimisha miaka ishirini na tano tangu kikundi kianzishwe(SILVER JUBILEE). Aliomba hii kuwa juhudi ya wanasamaki wote, waiotangulia na wa leo. TAFADHALI TUANZENI MIKAKATI MAPEMA.

Wenye hamu ya picha yake padri ya hivi punde, niliweze kuzipata tu hizi mbili nilizozishikanisha hapa. Asanteni.

Ni mimi wenu samaki ndogo,

1 comment:

steve owiti said...

Thanks to Wangalwa for the brief,the idea of celebrating the 25years is so wonderful and had talked to Jacob Okal on the same.I call upon all Fish members to mobilise some of the resources we have to make this day a great occasion. Let us invite Fr Tony & Sr Mary Ellen as honourable guests this time.Jorech tinde un gi nyalo tem uru walos girwa.